Categories
Michezo/Burudani

Vodacom Yajitoa Kudhamini Ligi Kuu Ya Soka Tanzania Bara

Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania imetangaza kujiondoa kwenye kudhamini Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. Taarifa iliyothibitisha leo Juni 8, na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo, Vodacom imekuwa ikipitia wakati ngumu wa kifedha hatua iliyosababisha kushindwa kutekeleza vipengele muhimu vya kimkataba ikiwamo kushindwa kutoa nauli kwa vilabu. Awali, Vodacom […]

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yaachana Na Kocha Wake Mzungu

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yaandika Historia: Sasa Inapatikana Kwenye “Gemu” ya Kompyuta ya Playstation

Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania imeweka rekodi kwa kuwa ya kwanza Tanzania, na miongoni mwa chache barani Afrika, kuwemo kwenye “gemu” ya kompyuta (computer game) ya Playstation. Taarifa hizo ni kwa mujibu wa twiti ya mfadhili mkuu wa kalbu hiyo kongwe, Mohammed “Mo” Dewji.  

Categories
Michezo/Burudani

Ratiba Kamili Ya Ligi Kuu Ya Soka Tanzania Bara kwa Msimu wa 2020/2021