Categories
Michezo/Burudani

Mwanasoka Jake Daniels wa klabu ya Blackpool ya Uingereza atangaza kuwa ni shoga

Mwanasoka Jake Daniels wa klabu ya mpira wa miguu ya Blackpool ametangaza kuwa yeye ni shoga. Hatua hiyo ya mwanasoka huyo wa timu hiyo inayokipiga kwenye ligi ya daraja la pili, ni ya kwanza baada ya zaidi ya miaka 30, ambapo mwanasoka wa zamani hapa Uingereza John Fashanu. Daniels amesema kuwa amepata sapoti ya kutosha […]

Categories
Michezo/Burudani

Taifa Stars Yaibwaga Benin 1-0, Bao la Simon Mchuva Laipeleka Stars Kileleni Kundi J, Mama Samia Atoa Pongezi

Categories
Michezo/Burudani

Mwanasoka wa Kimataifa wa Tanzania @HimidMao Ajiunga na Klabu ya Ghazl El-Mahalla Ya Misri Inayokipiga Ligi Kuu ya Nchi Hiyo

Mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami amejiunga na klabu ya soka ya Ghazl El-Mahalla inayokipiga Ligi Kuu ya Misri, akitokea klabu ya Entag El Harby ya nchini humo. Tovuti hii inamtakia Himid kila la heri katika klabu yake mpya 🙏

Categories
Michezo/Burudani

Tanzania Yaanza Vibaya Safari Ya Kufuzu AFCON, Yabwagwa 1-0 Na Tunisia

 

Categories
Michezo/Burudani

Ronaldo Akumbwa Na Korona

Mwanasoka mahiri duniani, Cristiano Ronaldo amekumbwa na janga la korona na kulazimika kuondoka kwenye kambi ya Timu ya Taifa ya Ureno iliyokuwa ikijiandaa kuchuana na Uswidi hapo kesho. Chama cha soka cha Ureno (PFF) kimesema kuwa mwanasoka huyo anayechezea Juventus ya Italia anaendelea vema.