Categories
Sayansi

Facebook, Mmiliki Wa WhatsApp, Yasitisha Sera Mpya Ya Faragha Iliyopelekea Mamilioni Kuikimbia WhatsApp

Mtandao wa kijamii wa Facebook, unaomiliki mtandao mwingine wa kijamii wa WhatsApp, umesitisha utekelezaji wa sera mpya ya faragha, ambayo ilipelekea mamilioni ya watumiaji wa WhatsApp kuachana na programu-tumizi hiyo. Sera hiyo mpya ya faragha ililenga kukusanya taarifa za watumiaji wa WhatsApp na kuipatia Facebook, ambayo ina rekodi isiyopendeza kuhusu utunzaji wa faragha za watumiaji […]