Categories
Biashara Habari

Rostam Aziz awa mmiliki mwenye hisa kubwa shirika la ndege la Coastal Travels

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Rostam Aziz ameingia kwenye sekta ya usafiri wa anga baada ya kununua hisa za kampuni ya Coastal Travels Company Limited katika hatua ambayo inaweza kuleta ushindani mkali miongoni mwa wachezaji. Kupitia Kampuni yake ya Taifa ya Usafiri wa Anga, Bw Aziz amenunua asilimia 51 ya hisa za Coastal Travels kutoka kwa […]