Categories
Habari

Tanzia: Mtoto wa Nyerere Afariki Dar

Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imepata msiba wa mtoto wao Rosemary Nyerere aliyefariki jana jioni jijini Dar es Salaam. Mmoja wa wanafamilia aliyejitambulisha kwa jina la Sophia Nyerere ameandika katika mtandao wa Instagram kuwa shangazi yake amefariki. Mwananchi limewatafuta baadhi ya wanafamilia akiwemo Manyerere Jacton aliyethibisha kuwa ndugu yao amefariki. “Ni kweli […]