Categories
Habari Siasa

BAWACHA Yataja Viongozi Wake Na Wanachama Wanaoshikiliwa Na Polisi, Walalamikia Ukiukwaji Wa Haki Ambapo Baadhi Wamenyimwa Taulo Za Wanawake.

Categories
Habari Siasa

Polisi Mwanza Wazuwia Kongamano La Katiba Mpya La Chadema

Categories
Biashara

Mitano Tena: Msako Wa Faini Za Magari Balaa, Trafiki Kila Kona

Dar es Salaam. Kama umewahi kuandikiwa faini kwa kukiuka sheria za barabarani na hujalipa imekula kwako. Ndivyo hali ilivyo sasa kufuatia ukaguzi wa trafiki unaofanyika kila kona ya nchi, hadi katika gereji na maegesho ya magari. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani liko katika operesheni iliyotangazwa na Mkuu wa Jeshi hilo, IGP Simon Sirro […]