Categories
Habari

Mutasa, mhitimu aliyeisotea PhD kwa miaka 41

Wakati Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kikifanya mahafali yake ya 50 leo, Mzee Samuel Rugaiyamu Mutasa, atakuwa kivutio cha pekee pale atakaposimama na kuwa miongoni mwa wahitimu wa Shahada ya Uzamivu (PhD). Akiwa na miaka 82 Mutasa anaitia kibindoni shahada yake ya uchunguzi wa kikemia wa baadhi ya mimea lishe na mimea dawa ya […]