Categories
Habari

CHADEMA inamtakatisha Dkt. Hosea kugombea Urais TLS?

Kwa ufupi sana Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS. Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa kumbwa kama EPA, Kagoda, Richmond nk. Nimeona baadhi ya viongozi (sio chama) wakimpa promo Dkt. Hosea. Tunataka kujua ni hao viongozi kwa utashi […]