Categories
Habari

Polisi Saba Kizimbani kwa Tuhuma za Mauaji Mtwara, ni Pamoja na ‘Kibaraka wa Bashite’ Aliyemtolea Bastola Nape

Maofisa saba wa Jeshi la Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Hakimu Mkazi Mtwara, kwa tuhuma ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis aliyekuwa akiishi Nachingwea mkoani Mtwara. Miongoni mwa washtakiwa hao ni Gilbert Kalanje, ambaye aliwahi kumtolea bastola Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia, Nape Nnauye. Tukio la Nape kutishiwa kwa bastola lilitokea […]