Categories
Habari

Mitano Tena: Watumishi Namtumbo Wadai Posho Ya Miezi Mitano

WATUMISHI mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo iliyopo Mkoa wa Ruvuma walioshiriki zoezi uandikishaji vyeti vya kuzaliwa vya watoto.wamelalamikia kusotea posho zao kwa zaidi ya miezi mitano sasa . Watumishi hao wanasema wanadai posho ya zaidi ya Sh milioni 100 na juhudi zao za kuzidai zinaelekea kugonga mwamba. Pamoja na kudai kuwa hawajalipwa fedha […]