Categories
Biashara Maisha

@moodewji aendeleza rekodi yake ya kuwa bilionea pekee wa dola (dollar billionaire) Afrika Mashariki kwa mwaka wa tatu mfululizo

Mfanyabiashara tajiri kuliko wote nchini Tanzania, Mohammed Dewji, ametajwa katika ripoti ya kampuni ya kimataifa ya utafiti ya Henleys & Partners kuwa ndiye bilionea pekee wa dola (dollar billionaire) katika ukanda wa Afrika Mashariki. Mwezi Februari mwaka huu, jarida la Forbes lilimtaja Dewji, maarufu kama Mo, kuwa mfanyabishara tajiri zaidi kuliko wote nchini Tanzania na […]

Categories
Biashara English News

Tanzanian tycoon Mohammed Dewji (@moodewji) retains his position as East Africa’s only dollar billionaire.

A NEW report published by the research firm- Henley & Partners- has revealed what might be a picture on the number of dollar millionaires and billionaires in the country with one Tanzanian becoming the only dollar billionaire in the East Africa region. In its ‘Africa Wealth Report 2022’, the firm (Henley & Partners) did not […]

Categories
Maisha

#NukuuZaMo (@moodewji): “Uaminifu ni muhimu! Huchukua muda mrefu kuujenga na muda mfupi kuuvunja”

Categories
Maisha

#NukuuZaMo (@moodewji): “Daima kuwa mnyenyekevu na kumshukuru Mungu.”

Categories
Maisha

Mo (@moodewji) akaribia kuwa rubani

Categories
Maisha

#NukuuZaMo (@moodewji): “Mtenda wema ni mwema zaidi kuliko wema wenyewe, na mtenda shari ni muovu zaidi kuliko shari yenyewe.” (Maneno ya Imam Ali a.s katika Nahjulbalagh semi no 32)

Categories
Michezo/Burudani

Mo (@moodewji) Amwaga Mamilioni Simba, Alipa Wachezaji Mishahara ya Januari, Bonasi ya Mechi 4 Walizoshinda, Awaahidi Zawadi Nono Wakishinda Dhidi ya ASEC Mimosa

RAIS wa heshima wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ juzi aliwamwagia mkwanja wachezaji wa kikosi hicho mchana wa Jumatano alipowatembelea kambini kwao. Bilionea huyo baada ya kikao cha dakika kadhaa na wachezaji, kwanza aliwalipa wachezaji na benchi la ufundi mishahara yao ya mwezi Januari kila mmoja. Wachezaji wa Simba baada ya hapo walipokea bonasi ya […]

Categories
Maisha

#NukuuZaMo: “Kaa Tayari Kwa Fursa Mpya. Mwenyezi Mungu Hutoa Riziki Kwa Amtakaye, Bila Kikomo.” – @moodewji

Categories
Biashara Habari

Jarida la Forbes Lachapisha Orodha ya Matajiri wa Mwaka 2022: @MooDewji Ndiye Tajiri Kuliko Wote Afrika Mashariki, Utajiri Wake ni Dola Bilioni 1.5 (Zaidi ya Sh Trilioni 3.4)

Categories
Habari

Mo Dewji Foundation Yarudi Singida Kutengeneza na Kuendeleza Visima