Categories
Habari

Mitano Tena: Profesa Wa Chuo Kikuu Huria Aliyetahadharisha Kuhusu KORONA Atakiwa Kuomba Radhi

Categories
Habari

Mitano Tena: Kampeni Za Kubadili Katiba Ili Magufuli Atawale Milele Zaanza Rasmi, Mbunge Awasilisha Hoja

Categories
Habari

Mitano Tena: Mbunge wa CCM Rorya Apaka Rangi Ya CCM Kwenye Ambulance, Adai Ni Maslahi Mapana Ya Wananchi

Categories
Habari

Mitano Tena: Magufuli Awataka Watanzania Kupuuza Uzazi Wa Mpango, Asema Wavivu Ndio Wanaojipangia Watoto

Categories
Habari

Mitano Tena: Vijiji 85 SENGEREMA Havina Zahanati

Categories
Habari

Mitano Tena: Radio Free Afrika Yakatisha Matangazo Ya BBC Baada Ya Padre Aliyekuwa Anahojiwa Kutamka Korona

Katika hali ambayo si ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache kuendesha ibada za mazishi, lakini sasa wamekuwa wakiitwa […]

Categories
Habari

Mitano Tena: Watumishi Namtumbo Wadai Posho Ya Miezi Mitano

WATUMISHI mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo iliyopo Mkoa wa Ruvuma walioshiriki zoezi uandikishaji vyeti vya kuzaliwa vya watoto.wamelalamikia kusotea posho zao kwa zaidi ya miezi mitano sasa . Watumishi hao wanasema wanadai posho ya zaidi ya Sh milioni 100 na juhudi zao za kuzidai zinaelekea kugonga mwamba. Pamoja na kudai kuwa hawajalipwa fedha […]

Categories
Biashara

Mitano Tena: Msako Wa Faini Za Magari Balaa, Trafiki Kila Kona

Dar es Salaam. Kama umewahi kuandikiwa faini kwa kukiuka sheria za barabarani na hujalipa imekula kwako. Ndivyo hali ilivyo sasa kufuatia ukaguzi wa trafiki unaofanyika kila kona ya nchi, hadi katika gereji na maegesho ya magari. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani liko katika operesheni iliyotangazwa na Mkuu wa Jeshi hilo, IGP Simon Sirro […]

Categories
Habari

Mitano Tena: Watoto Waning’inizwa Mtini Kupimwa Uzito, Wajawazito Walazwa Chini Tarime

Categories
Habari

Mitano Tena: Walimu Wahamishwa Kwa Nguvu Mwanza

Halmshauri ya Jiji la Mwanza imewahamisha kwa nguvu kwenye nyumba walizokuwa wanakaa walimu wanne wa shule za sekondari Mlimani, Mapango na Pamba za Jiji hilo ili kupisha ukarabati unaotekelezwa na Serikali. Zoezi la kuwaondoa walimu hao kwenye nyumba hizo limefanyika baada ya kukataa kuhama kwa hiari na kudai hawajalipwa fedha za kufunga mizigo. Zoezi hilo […]