Categories
Habari Siasa

Mama @SuluhuSamia azidi kuupiga mwingi: Lissu alipwa madeni yake yote, alipwa kiinua mgongo pia

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu amesema Serikali imemlipa kiunua mgongo chake aliochukuwa akikidai baada ya kutumikia nafasi ya ubunge kwa zaidi ya miaka mitatu. Wakati Lissu akisema amelipwa madeni hayo,  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Emmanuel Tutuba amesema ni utendaji wa kawaida serikalini kulipa madeni ya wafanyakazi na viongozi hata […]

Categories
Habari Kimataifa Maisha Siasa

#TIME100: Mama @SuluhuSamia atajwa katika orodha ya mwaka huu ya jarida la kimataifa la TIME ya watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani

Kwanini Mama Samia amestahili kuwemo kwenye orodha hiyo? Anaeleza Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf Rais Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021, na uongozi wake umekuwa wa kusisimua. Mwaka huo umeleta mabadiliko makubwa kwa Tanzania. Mlango umefunguliwa kwa mazungumzo kati ya wapinzani wa kisiasa, hatua zimechukuliwa ili kujenga upya imani katika mfumo […]

Categories
Habari

Mama @SuluhuSamia Acharuka, Avunja Bodi ya TPA na Wakala wa Meli, Aagiza Waliotajwa Ripoti ya CAG Kuchukuliwa Hatua Haraka

Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi, Ripoti ya CAG inasema kwamba kulikuwa na malipo ya juu ya wakandarasi bila kufuata sheria za manunuzi na matumizi, ilitaja pia watu waliohusika […]

Categories
Biashara Habari

Uongozi Jiji La Dar Wapuuza Agizo la Mama @SuluhuSamia Kuwa Hataki Kuona Mamlaka Zikitumia Nguvu Kuwaondoa Wamachanga, Vibanda Kimara Mwisho Vyavunjwa Usiku, Mali Za Wamachinga Zaporwa

Categories
Habari

Mama @SuluhuSamia Ziarani Misri

Rais Samia atafanya ziara ya siku 3 Misri kuanzia kesho kufuatia mwaliko wa Rais Abdel Fattah Al Sisi. Rais Samia atazungumza na mwenyeji wake kuhusu diplomasia, uchumi, siasa, utalii na huduma za kijamii. Pia, atashuhudia utiaji saini mkataba 1 na hati 7 za makubaliano.

Categories
Habari

Mdau Ashauri TONY BLAIR Aulizwe Kuhusu Ahadi Yake ya MWAKA 2013 Kusambaza ‘Sola’ Shule za Sekondar za Vijijini Tanzania

Mdau mmoja huko Jamii Forums amehoji kuhusu ahadi iliyotolewa na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza mwaka 2013 ya kusambaza sola katika shule za sekondari za vijijini nchini Tanzania. Ifiatayo ni habari husika ya mwaka 2013 kuhusu ahadi hiyo. Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameahidi kuangalia uwezekano wa kuzisaidia shule za sekondari […]

Categories
Habari Siasa

Ally Bananga Kupewa u-DC Baada ya Kujiunga na CCM Akitokea Chadema, na Mama Samia Kuahidi “Kumtumia”?

Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje Chadema lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani.” “Nawaomba wana CCM wenzangu, mniruhusu niwe miongoni mwenu ili tusaidiane na mama yetu katika kuelezea mazuri yanayofanyika na mama, nchi inatabasamu, inapumua,” alisema […]

Categories
Michezo/Burudani

Taifa Stars Yaibwaga Benin 1-0, Bao la Simon Mchuva Laipeleka Stars Kileleni Kundi J, Mama Samia Atoa Pongezi

Categories
Habari

Picha Hii Ya Mama @SuluhuSamia Iliyozagaa Mtandaoni Ikiashiria “Samia Wawili” (Body Double) Ni “Collage” Ya Picha Mbili. Ni Uzembe Wa Wazi wa Dkt Abbasi Kwa Vile Jana Tu Serikali Imekemea “Picha Holela Za Royal Tour.”

Categories
Habari

Mama @SuluhuSamia Asimikwa Kuwa Mkuu Wa Machifu Tanzania, Apewa Jina La CHIFU HANGAYA 😁