Categories
Habari

Kwaheri Mwendazake: Waziri Amruka Kimanga Magufuli Kuhusu “Papai Lililokutwa Na Korona,” Asema Zilikuwa Ni Kasoro Za Kimaabara

Categories
Habari

Mtaala Wa Somo La Historia Ya Tanzania Uliokuwa Ukiandaliwa Kwa Shinikizo La Magufuli Wapigwa Teke

Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau. Source: ITV

Categories
Habari

Sabaya Bilionea, Matanuzi Yake Kufuru

MKUU wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro aliyesimamishwa kazi, Lengai ole Sabaya, ‘anaogelea kwenye utajiri wa mabilioni ya shilingi’, Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka wilayani Hai, Arusha na Dar es Salaam, zinasema Sabaya anaweza kuwa mmoja wa wakuu wa wilaya wachache nchini, ambao wanamiliki mabilioni ya shilingi, yaliyotokana na madaraka aliyokabidhiwa. Kwa mujibu wa taarifa […]

Categories
Habari Siasa

M/Kiti UVCCM Taifa, Heri James, Ambaye Pia Ni Mpwa Wa Magufuli, Abadili Gia Angani, Aomba Msamaha Baada Ya Kauli Mfululizo Za Kebehi Na Matusi

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa umoja huyo Taifa, Kheri James wakati akizungumza na waandishi wa […]

Categories
Habari

Mitano Tena: Magufuli Awataka Watanzania Kupuuza Uzazi Wa Mpango, Asema Wavivu Ndio Wanaojipangia Watoto

Categories
Habari

Mitano Tena: Radio Free Afrika Yakatisha Matangazo Ya BBC Baada Ya Padre Aliyekuwa Anahojiwa Kutamka Korona

Katika hali ambayo si ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache kuendesha ibada za mazishi, lakini sasa wamekuwa wakiitwa […]