Categories
Habari Siasa

ACT-Wazalendo Wazindua Kadi za Uanachama za Kumuenzi Maalim Seif

Categories
Habari

Janga La Korona: Tanzania Yaondokewa Na Viongozi Wakuu Wawili Ndani Ya Masaa 12

Categories
Habari Siasa

Balozi Wa Marekani Awapongeza Dkt Mwinyi Na Maalim Seif Kwa Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Zanzibar

Categories
Habari Siasa

ACT-Wazalendo Yatafakari Kujiunga Na Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Zanzibar

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kinajipa muda zaidi wa kutafakari iwapo itapendekeza jina la makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar pamoja na kushiriki katika Serikali ya Umoja ya Kitaifa (SUK). Akizungumza na gazeti la mwananchi lililotaka kujua msimamo wa chama hicho kuhusu ushiriki wake katika serikali ya umoja wa kitaifa kutokana na msimamo wake wa […]

Categories
Habari Siasa

Chadema na ACT-Wazalendo Watangaza Kutoyatambua Matokeo Ya Uchaguzi, Waandaa Maandamano Yasio na Mwisho Nchi Nzima

Categories
Siasa

Membe Atuhumiwa Kufanya Hujuma Nzito Dhidi Ya Maalim Seif Na Zitto, Atajwa Kuwa Nyuma Ya Barua Inayotaka Maalim Na Zitto Wavuliwe Uanachama

Categories
Habari Siasa

Balozi Wa Marekani Akutana Na Maalim Seif

Categories
Biashara

Macho Yote Kwa Membe Baada Ya ACT – Wazalendo Kutamka Itatangaza Mgombea Urais Inayemuunga Mkono (Ikimaanisha Si “Mgombea Wao” Membe)

Tamko hilo la Zitto ni kama kupigia mstari kauli hii ya Maalim Seif Sharif Hamad Macho na masikio sasa yaelekezwa kwa Bernard Membe, kada wa zamani wa CCM aliyefukuzwa na chama hicho tawala kisha akajiunga na ACT-Wazalendo, kabla ya kupitishwa kuwa mgombea wa chama hicho katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. […]

Categories
Siasa

Maalim Seif Atangaza Kumuunga Mkono Lissu. Je ACT-Wazalendo Imemtosa Membe?

Categories
Siasa

Urais Zanzibar: Tume Ya Uchaguzi Yatupilia Mbali Pingamizi Dhidi Ya Maalim Seif

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imempitisha Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif kuwa mgombea wa Urais baada ya kuwekewa mapingamizi 2 siku ya jana Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji mstaafu Hamid Mahmoud amesema kuwa rufaa iliyokatwa dhidi ya Maalim haina mashiko