Categories
Habari Siasa

Nyalandu Azuiwa Kwenda Kenya Kwa Madai Ya Kutokuwa Na Nyaraka Muhimu

Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini, (Chadema)Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya wa Namanga baada ya kukosa nyaraka muhimu. Akizungumza na Mwananchi leo, November 9, Mkuu wa wilaya Longido, Frank Mwaisumbe amesema mwanasiasa huyo alikuwa akitaka kuondoka nchini lakini hakukuwa na nyaraka zinazohitajika. “Ni kweli maofisa wa uhamiaji mpakani […]