Categories
Afya

“Viongozi Wasiochanjwa Dhidi ya Korona Waachie Ngazi” – Waziri wa Afya Dkt Gwajima

Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa dhidi ya korona watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya ugonjwa huo. Waziri wa Afya amesema kama Rais Samia Suluhu kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei msimamo wa Serikali

Categories
Habari Sayansi

Breaking News: “Mimi ni Mama wa Watoto Wanne, Bibi, Mke, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania. Nipo Tayari kwa Chanjo ya Korona,” Asema Mama @SuluhuSamia Akipewa Chanjo ya Korona Ikulu Leo.

Categories
Habari Sayansi

29 Wafariki Kwa KORONA Tanzania, Visa Vipya 176 Jana Pekee, Jumla Ya Wagonjwa Ni 858

Waziri wa Afya, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29 wamefariki kutokana na wimbi la tatu la Covid-19 huku jana pekee kukiwa na wagonjwa wapya 176. Idadi hiyo inafikisha Tanzania kuwa na jumla ya wagonjwa 858 wa Covid-19. Akizungumza na waandishi wa habari leo Dk Dorothy amesema takwimu hizo ni alizopata jana […]

Categories
Habari

Kwaheri Mwendazake: Waziri Amruka Kimanga Magufuli Kuhusu “Papai Lililokutwa Na Korona,” Asema Zilikuwa Ni Kasoro Za Kimaabara

Categories
Habari

Breaking News: Tanzania Yatangaza Visa Vya Korona 408 Huku Wagonjwa 284 Wakiwa Kwenye Mashine Za Kusaidia Kupumua

Categories
Habari Sayansi

Kukabiliana na Janga La Korona Tanzania Na Kukidhi Matakwa Ya IMF: Serikali ya Mama Samia Yaagiza Uvaaji Barakoa Kwenye Mikusanyiko

Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za afya ya msingi na kwamba watapimwa kulingana na utendaji wao. Pamoja na hatua mbalimbali […]

Categories
Habari

Janga La Korona: Tanzania Yaondokewa Na Viongozi Wakuu Wawili Ndani Ya Masaa 12

Categories
Habari

Mitano Tena: Profesa Wa Chuo Kikuu Huria Aliyetahadharisha Kuhusu KORONA Atakiwa Kuomba Radhi

Categories
Habari

Taarifa: Korona Inateketeza Watu Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi Ashauriwa Kuchukua Hatua

Chanzo: Jamii Forums

Categories
Habari

Balozi Wa Tanzania Nchini Israeli Apewa Chanjo Dhidi Ya “Makorona Ya Ajabu Ajabu” 😊