Categories
Habari

Tumerejea Hewani

Tovuti hii bora kabisa ya habari za Kiswahili duniani imerejea hewani baada ya ukarabati mkubwa. Japo msomaji anaweza asibaini tofauti kati ya tovuti hii ilivyokuwa awali na ilivyo sasa, ukweli ni kwamba kuna maboresho kadhaa yaliyofanyika, kubwa zaidi likiwa kwenye usalama, wa msomaji na wa tovuti yenyewe. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza wakati tukiwa […]