Categories
Siasa

Wafuasi Wa “Shujaa Wa Afrika” Wamtishia Maisha CAG Kichere Kutokana Na Ripoti Yake Iliyoonyesha Ufisadi Mkubwa 2015 – 2020

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ametishiwa maisha, baada ya ripoti yake aliyoitoa hivi karibuni kuibua madudu mengi yaliyogusa baadhi ya watumishi wa umma, Raia Mwema imefahamishwa. Taarifa za ndani kutoka familia yake, zimethibitisha kuwapo vitisho dhidi ya CAG Kichere, ambaye kwa sasa ameimarishiwa ulinzi wa kawaida na wa kiintelijensia. […]