Categories
Siasa

Mapendekezo ya @ACTWazalendo yaliyowasilishwa mbele ya Kikosi Kazi cha Rais.

Categories
Habari Siasa

Chama cha ACT-Wazalendo Chatangaza Mwaka 2022 Kuwa wa Kupigania Tume Huru ya Uchaguzi Ili Kuweka Mazingira Mazuri Kupata Katiba Mpya

Categories
Habari Siasa

Sugu Ashauri Watu Kugomea Pombe Ili Kuikomoa Serikali kwa Kuikosesha Mapato, na Kuishinikiza Ikubali Katiba Mpya

CHANZO

Categories
Habari

Video: Jaji Warioba Aongelea #KatibaMpya Kwa Kina

Categories
Habari Siasa

Asilimia 60 ya Watanzania Wanataka #KatibaMpya

Wawili kati ya Watanzania watatu wanadhani kwamba ni wakati taifa hilo linafaa kuwa na katiba mpya, kulingana na matokeo ya utafiti uliofanywa na Twaweza. Utafiti huo kwa jina ”Unfinished Business” unaangazia mkwamo wa mkakati wa katiba mpya kutokana na data ya sauti za wananchi. Matokeo hayo yanatokana na data iliokusanywa kutoka kwa raia 1,745 nchini […]

Categories
Habari Siasa

Polisi Mwanza Wazuwia Kongamano La Katiba Mpya La Chadema

Categories
Siasa

Warioba Asisitiza Haja Ya #KatibaMpya, Asisitiza Iwe Katiba Ya Wananchi Sio Ya Wanasiasa, Asema Ni Vigumu Katiba Mpya Kupatikana Mwaka Huu Kutokana Na Korona

Categories
Habari Siasa

Askofu Bagonza: Anayeweza Kuvunja Katiba Iliyopo Anaweza Pia Kuvunja Katiba Mpya,

Categories
Maoni Siasa

Maoni Ya Mdau: Tatizo Sio Katiba Mpya Bali Kutotii Sheria Zilizomo Kwenye Katiba Iliyopo. Kama Sheria Zilizo Kwenye Katiba Ya Sasa Zapuuzwa, Miujiza Gani Itafanya Zilizomo Kwenye Katiba Mpya Ziheshimiwe?

Maoni ya mdau mmoja huko Jamii Forums Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni yenye kustahili kusahihishwa kwa sababu si ya kweli. Ni uongo! Kwa ajili ya kumbukumbu, nimekusudia kusahihisha […]

Categories
Habari

Sheikh Ponda Alaani Kukamatwa Kwa Askofu Mwamakula

SI SAWA KUMKAMATA ASKOFU KWA MADAI YA KATIBA MPYA Kwa hakika hali inazidi kuwa ngumu kuelewa mwelekeo wa nchi yetu katika mambo mbalimbali. Mfano mmojawapo ni huu wa vyombo vya Dola kumkamata kiongozi wa Dini Askofu Emmaus Mbandekile Mwamakula kwa kuleza nia yake njema katika suala la Katiba Mpya. Askofu kasema suala analoliona ni kipaumbele […]