Categories
Habari Siasa

Chadema yasema haitokwenda kutoa maoni yake kwa Kikosi Kazi cha Katiba mpya hapo kesho

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetamgaza kuwa hakitokwenda kutoa maoni yake kwa Kikosi Kazi cha Katiba mpya hapo kesho. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar leo, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema msimamo wa chama hicho haujabadilika. Kadhalika, Mnyika aliongelea mazungumzo yanayoendelea kati ya chama hicho, CCM na serikali, sambamba na kugusia […]

Categories
Habari Siasa

Mnyika Aeleza Kuwa Ametumiwa Barua Na Msajili Wa Vyama Vya Siasa Awasilishe Maelezo Kuhusu Maneno “Rais (Samia) Alitoa Kauli Za Uongo Kwenye Mahojiano Yake Na BBC Swahili.” Msajili Adai Maneno Hayo Ni Lugha Chafu, Kashfa, Kinyume Cha Maadili

Categories
Habari Siasa

Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Yadai Ilifanya Uteuzi Wa Akina Halima Mdee Baada Ya Kupatiwa Majina Na Mnyika Novemba 17