Categories
Habari Siasa

Serikali ya Mama @SuluhuSamia Yawarejesha Kazini Watumishi Zaidi ya 4,000 Walioondolewa Kipindi cha Utawala wa Magufuli kwa Madai ya Kugushi Vyeti

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed […]

Categories
Habari Siasa

Deodatus Balile: Magufuli Katutenda, Deni La Taifa Lafikia Sh TRILIONI 78, Mama Samia Msalabani.

Jamhuri October 26, 2021 Na Deodatus Balile Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono inapotawala katika jamii. Kwa sasa kuna minong’ono mingi. Minong’ono imeanza baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani mkopo wa Sh trilioni 1.3, alioukopa kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na akatangaza miradi […]

Categories
Habari

Kesi Ya Sabaya: Kama Ilivyotarajiwa, Ajitetea Kwamba Yote Aliyofanya Yalikuwa Maagizo Ya Rais Magufuli

Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang’anyi wa kitumia silaha na Kupora Mali na fedha ,Lengai ole Sabaya (34)ameiambia mahakama kuwa alitumwa na rais marehemu John Magufuli kuvamia duka la Shaahid Store ili kumkamata Mmiliki wa duka hilo, Mohamed Saad. Akiongozwa na wakili Mosses Mahuna wakati akitoa utetezi wake mbele ya hakimu Mkazi Mwandamizi Odira […]

Categories
Maoni Siasa

Maoni: Mama Samia Atazimudu Fitna Za Watanganyika?

Nimekutana na bandiko hili huko Jamii Forums, mwandishi akiwa mtu anayejiita “Boss” nami nimeona lina umuhimu wa kubandikwa hapa tovutini Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao.. Rais Mwinyi alikuwa ‘victim’ ‘mkubwa Sana wa makundi haya…ilifikia wakati […]

Categories
Habari Siasa

Breaking News: Rais Magufuli Afariki Dunia

Rais John Pombe Magufuli amekata roho leo saa kumi na moja nusu Jioni hospitali ya Mzena Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samiah Suluh Hassan hajaambiwa. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Diwani Athumani na Daktari wa Rais Professor Mchembe wamekaa na Mwili wa Marehemu mpaka sasa kupanga Makamu wa Rais wanayemtaka Bwana Chamuriho.

Categories
Habari

“International Appeal: Dear World, Help Stop The COVID-19 Madness In Tanzania.” – Maria Sarungi

What is happening in Tanzania regarding COVID19 would be fodder for a Kafka-esque novel, had it not been that it is very tragic! Here is some context. Late yesterday the UK banned entry to travelers from Tanzania and D.R.C. in an attempt to stop the spread of the South Africa variant of COVID-19 Similar bans were […]

Categories
Biashara Habari Siasa

Baada Ya Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa China Kutua CHATO, Kesho Rais Nyusi Wa Msumbiji Kuwasili Mji Huo Uliogeuka Kama “Ikulu Ndogo.”

Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kutua kijijini kwa Rais Magufuli, Chato, katika ziara yake wiki iliyopita, Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi nae atawasili kesho kijijini hapo kwa ziara ya siku mbili. Yayumkinika kuiangalia Chato sasa kama “Ikulu isiyo rasmi” baada ya shughuli mbalimbali za kiserikali kuhamia katika kijiji hicho.

Categories
Habari Siasa

Magufuli Aangushwa Na Rais Wa Ghana Katika Kura Ya Mwanasiasa Bora Wa Mwaka 2020 Afrika

Categories
Habari

Wakili Wa Lissu Afungua Kesi Dhidi Ya Magufuli Mahakama Ya Kimataifa Ya Uhalifu (ICC)

 

Categories
Habari Siasa

#MustRead: “Authoritarianism Wins Big in Tanzania Amid Bloodshed and Vote Rigging,” Writes Sophie Nieman

Tanzania’s experience points to how a fully empowered autocrat can demolish a country’s constitutional system. SOPHIE NEIMAN Nov 30 When veteran opposition leader Tundu Lissu returned to Tanzania in August, after three years in exile and with a daring plan to challenge incumbent John Magufuli in the October presidential elections, he was cautiously optimistic. There were […]