Categories
Habari Siasa

Lema Amtabiria Kifo Ndugai, Amshauri Spika Huyo Aliyejuzulu Jana Atubu Kwani Anaenda Kufa Muda Sio Mrefu 😳

Categories
Habari Siasa

Spika Ndugai Ajiuzulu

Categories
Habari Siasa

Video: Lissu Amtetea Ndugai

Categories
Habari Siasa

Ndugai Amuomba Msamaha Mama @SuluhuSamia, Adai Alinukuliwa Vibaya Kwenye Kauli Yake Kuhusu Mikopo

Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana […]

Categories
Habari Siasa

Wabunge Wataka Mbunge Condester Sichwale Aliyetolewa Nje Na Spika Ndugai Kwa Madai Ya Mavazi Yasiyo Ya Kimaadili Aombwe Radhi

Sakata la kutolewa nje kwa mbunge wa Momba, Condester Sichwale (CCM) kuhusu mavazi, limeibuka tena leo jioni katika kikao cha Bunge baada ya wabunge wanawake kutaka aombwe radhi na aliyetoa hoja. Hata hivyo mbunge Hussein Amar amesema hawezi kuomba radhi kwa sababu alichosema alikuwa sahihi kwakuwa mavazi aliyovaa mbunge mwenzake hayakuwa na staha ndiyo maana […]

Categories
Siasa

Ndugai Aendeleza Chuki Zake Dhidi Ya Mbowe: Baada Ya Kudai M/Kiti Huyo Wa Chadema Taifa Ametumwa Kupotosha Taarifa Ya CAG, Sasa Adai Mbowe Alikuwa Mzururaji Alipokuwa Mbunge Wa Hai

Awali jana, Spika Ndugai alitoa tuhuma hizi