Categories
Habari

Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad (@Hamad074759393) aongea na waandishi wa habari

Categories
Habari

Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi @Hamad074759393 akiwasilisha mada kwenye mafunzo kwa wakuu wa upelelezi na waendesha mashtaka

Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi Hamad Khamis Hamad aliwasilisha mada kwenye mafunzo kwa wakuu wa upelelezi na waendesha mashtaka kuhusu upelelezi na uendeshaji wa kesi za wanyamapori na misitu. Mafunzo hayo yalifanyika kuanzia Mei 26 hadi Juni 5 mwaka huu, huko Moshi.

Categories
Habari

Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, CP Hamad Khamis Hamad, amwakilisha IGP katika Mkutano wa Nafasi ya Vyombo vya Habari kwenye kuripoti Matukio ya Kihalifu na Haki za Binadamu

Na Hellen Mtereko, Mwanza Kamishina wa fedha wa uchumi wa Jeshi la Polisi Hamad Khamis Hamad amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kimtandao ulioandaliwa na chama cha waandishi wa habari wa kupiga vita matumizi ya Dawa za kulevya na uhalifu Tanzania(OJADACT) kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) pamoja na […]

Categories
Habari

Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, CP @Hamad074759393 afungua mradi wa kujenga uwezo wa kupambana na uhalifu

Categories
Habari

Hotuba ya Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, Kamishna Hamad Khamis Hamad katika uzinduzi wa jengo jipya la kituo cha polisi cha Mikokotoni, Kaskazini Unguja, Machi 25, 2022

Mh. Mkuu wa Mkoa Kaskazini UngujaMh. Mbunge wa Jimbo Mh. Mwakilishi wa Jimbo Kamishna wa Polisi ZanzibarKamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini UngujaWawakilishi wa vyombo vya ulinzi na UsalamaMaafisa Waandamizi Makao Makuu ya Polisi ZanzibarMaafisa, Wakaguzi na askari wa Mkoa wa Kaskazini UngujaMkandarasi Albatna Building Constructor L.TDMshauri Mwelekezi Samkay Consult CO L.T.DWaandishi wa habariMabibi na […]

Categories
Habari

Polisi Saba Kizimbani kwa Tuhuma za Mauaji Mtwara, ni Pamoja na ‘Kibaraka wa Bashite’ Aliyemtolea Bastola Nape

Maofisa saba wa Jeshi la Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Hakimu Mkazi Mtwara, kwa tuhuma ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis aliyekuwa akiishi Nachingwea mkoani Mtwara. Miongoni mwa washtakiwa hao ni Gilbert Kalanje, ambaye aliwahi kumtolea bastola Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia, Nape Nnauye. Tukio la Nape kutishiwa kwa bastola lilitokea […]

Categories
Habari Siasa

“Kufanya Kongamano La Katiba Ni Uvunjifu Wa Katiba” – RPC Mara

Categories
Habari Siasa

Jeshi La Polisi Ladai Linamshikilia Mbowe Kwa Tuhuma Za Ugaidi Ikiwa Ni Pamoja Na Kupanga Mauaji Ya Viongozi wa Serikali