Categories
Habari

Waziri January Makamba Asema Tutaendelea Kutumia Maarifa, Uwezo na Uzoefu wa Mtanzania Yoyote, Bila Kujali Alipo, Kusaidia Kutumika Taifa, Akutana na Balozi Wa Uingereza

Categories
Habari

January Makamba Aanza Uwaziri wa Nishati Kwa Kishindo: Atoa Wiki Mbili Kwa Tanesco Kumaliza Tatizo Sugu La Umeme Kukatika Mara kwa Mara

Dar es Salaam. Waziri wa Nishati, January Makamba ametoa wiki mbili kuhakikisha hakuna tatizo la kukatika umeme nchini Tanzania. Leo Ijumaa Septemba 17, 2021 Makamba amefanya ziara ya kushtukiza katika ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) baada ya malalamiko ya wananchi kuongezeka kuhusu kukatika kwa umeme . Makamba amesema atakayeshindwa kutekeleza majukumu yake na malalamiko […]

Categories
Habari

@MooDewji Ampongeza @JMakamba kwa Kuteuliwa Kuwa Waziri Mpya wa Nishati

Categories
Habari Siasa

Mama Samia Arejesha Tumaini, Afanya Mabadiliko Makubwa Kwenye Kabineti Yake: Nyota Ya January Makamba Yang’ara, Awa Waziri Wa Nishati, Dr Tax Awa Waziri Wa Ulinzi wa Kwanza Mwanamke TZ, “Chato Gang” Wawili Chali, Feleshi Mwanasheria Mkuu Mpya

Categories
Habari

January Makamba Atanabaisha Kuwa Ujumbe Unaodai Sasa Anaunga Mkono Msimamo Fyongo Wa Askofu Gwajima Kuhusu Chanjo ya Korona Ni Ujumbe FEKI

Categories
Habari

Chanjo Ya Korona Tanzania: Askofu Shoo, Januari Makamba Wakemea Upotoshaji Wa Askofu Gwajima