Categories
Habari Siasa

Madhara Ya Kuwapa Maafisa Usalama wa Taifa Uongozi “Uraiani”: DC, Madiwani Dar Nusura Wazichape

MADIWANI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mkoani Dar es salaam, Kisare Makore wameingia katika ‘mnyukano’ unaohatarisha maendeleo na uhai wa chama chao. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mgogoro huo umefika mahala pabaya baada ya DC huyo juzi Jumatatu kunusurika kichapo kutoka kwa madiwani hao wa CCM na kusababisha kikao cha Halmashauri Kuu […]

Categories
Habari Siasa

“Afisa wa TISS Aliyemteka Dkt ULIMBOKA” Apitishwa na CCM Kuwania Ubunge

Jina la Ramadhan Ighondu laweza kuwa geni kwenye duru za siasa lakini liliwahi kuvuma sana miaka ya nyuma. Soma habari hii iliyochapishwa na gazeti la Mwanahalisi July 2012 Aliyemteka Kubenea Huyu Hapa Na Saed Kubenea – Imechapwa 25 July 2012Ni Ighondu wa Usalama wa Taifa RAMADHANI Ighondu, afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), ndiye ametajwa kuwa […]