Categories
Biashara

Mama @SuluhuSamia afanya teuzi mbalimbali, Polepole ateuliwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Categories
Siasa

Ngoma Inogile: Polepole Ajibu Mashambulizi, Asema Katika CCM Binadamu Wote ni Sawa, “Haijalishi Kama Babako au Mamako Alikuwa Kiongozi.”

Categories
Habari Siasa

CCM Waanza Kutiana Vidole Machoni: Bulembo Amuwakia Polepole, Adai Bashiru Alikuwa mwana-CUF, Amponda Prof Kabudi Akimtuhumu Kuharibu Mahusiano Kimataifa

Mwenyekiti mstaafu wa jumuiya ya wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo amemtaka mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amwache Rais Samia Suluhu Hassan atekeleze majukumu yake. Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 12,2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari akimjibu Polepole kuhusu lawama alizotoa dhidi ya Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM. Bulembo amemuomba makamu mwenyekiti […]

Categories
Habari Siasa

Ubunge Mwibara Kwa Tiketi Ya CCM: Kamati Kuu Yamkata “Mwanaharakati Huru” Musiba

Katibu Mwenezi wa CCM, Humprey Polepole ametangaza uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kuhusu majina ya wagombea nafasi za ubunge katika baadhi ya majimbo. Moja ya majimbo yaliyovuta hisia za wengi ni Mwibara ambako mmoja wa wafuasi wakubwa wa Rais Magufuli, “mwanaharakati huru” Cyprian Musiba, alikuwa akiwania kupitishwa kugombea ubunge kwenye jimbo la Mwibara. […]