Categories
Habari Siasa

M/Kiti UVCCM Taifa, Heri James, Ambaye Pia Ni Mpwa Wa Magufuli, Abadili Gia Angani, Aomba Msamaha Baada Ya Kauli Mfululizo Za Kebehi Na Matusi

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa umoja huyo Taifa, Kheri James wakati akizungumza na waandishi wa […]

Categories
Siasa

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Awafokea Viongozi wa Dini Waliodai Haki kwa Wagombea Walioenguliwa