Categories
Biashara

Serikali Yayafungulia Magazeti ya Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima. Waziri Nape Asema ni Kuanza Ukurasa Mpya

Categories
Habari

Tumerejea Hewani

Tovuti hii bora kabisa ya habari za Kiswahili duniani imerejea hewani baada ya ukarabati mkubwa. Japo msomaji anaweza asibaini tofauti kati ya tovuti hii ilivyokuwa awali na ilivyo sasa, ukweli ni kwamba kuna maboresho kadhaa yaliyofanyika, kubwa zaidi likiwa kwenye usalama, wa msomaji na wa tovuti yenyewe. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza wakati tukiwa […]

Categories
Habari

Kampuni Ya New Habari Yasitisha Uzalishaji Wa Magazeti ya Mtanzania, Rai, Dimba Na Bingwa Kutokana Na “Vyuma Kukaza.”

Categories
Habari

Clouds TV na Radio Wafungiwa na TCRA kwa “Kutangaza Takwimu za Uchaguzi Ambazo Hazijathibitishwa na NEC.”

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi. TCRA imesema kosa walilolifanya ni kutangaza takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa […]