Categories
Habari Siasa

Kesi ya Mbowe: Hatimaye “utu umetawala” baada ya serikali ya Mama @SuluhuSamia kupitia Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kufuta kesi ya Mbowe.

Categories
Habari

DPP Awafutia Kesi Waliodaiwa Kusafirisha Wenye Ulemavu, Kuwatumikisha

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi na kuwaachia huru washtakiwa 14 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka 41 yakiwemo ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, kukwepa kodi na kuisababishia hasara ya Sh31 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Wameachiwa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuwasilisha hati mahakamani akieleza kuwa hana nia ya […]

Categories
Habari

DPP Asema Ni Kosa Kuwarejeshea Fedha Waliojiunga na QNET

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga amesema ni kosa kuwarejeshea fedha watu waliojiunga na kampuni ya Qnet kisha kudai wametapeliwa kwamba kufanya hivyo ni kosa. Ameeleza hayo jana katika mahojiano maalumu na gazeti hili ikiwa ni siku mbili baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Geita kurejesha Sh5.48 milioni kwa […]