Categories
Michezo/Burudani

Matatizo Kama Kuni za Kuchochea Mafanikio: Kukimbia “Maisha Ya Kihalifu” Kulivyopeleka Mafanikio ya Kimuziki ya Dababy

  Moja ya majina makubwa duniani kwenye muziki wa kufokafoka ni rapa Dababy wa Marekani. Msanii huyu ambaye jina lake halisi ni Jonathan Kirk, ni “sura iliyozoeleka” kwenye chaneli mbalimbali za runinga. Lakini safari ya Dababy haikuwa rahisi. Yayumkinika kusema kuwa aliandamwa na maisha ya “kihalifu” tangu udogoni, na mwaka jana tu alinusurika kwenda jela […]