Categories
English News Habari

Membe Defamation: Musiba Files Appeal

A JOURNALIST, Mr Cyprian Musiba, has resolved go to the Court of Appeal to challenge decision by the High Court in Dar es Salaam requiring him to pay 6bn/- damages to former Foreign Affairs Minister, Mr Bernard Membe, for defamation. Through Advocate Mafuru Mafuru, the self-styled activist Musiba and two other appellants have filed a […]

Categories
Habari

Mahakama yaamuru Cyprian Musiba Kulipa Fidia ya Tsh Bilioni 6 kwa Kumchafua Membe

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuamuru mwanahabari anayejitambulisha kama mwanaharakati huru, Cyprian Musiba kumlipa fidia ya Sh6 bilioni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika Serikali ya Awamu ya Nne, Bernard Membe. Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Oktoba 28,2021 na Jaji Joacquine De Mello aliyeisikiliza kesi hiyo. Katika hukumu hiyo Musiba ametakiwa kumlipa […]

Categories
Habari

Breaking News: Mahakama Yamtia Hatiani Musiba Kwenye Kesi Ya Madai Iliyofunguliwa Na Fatma Katume. Ahukumiwa Kulipa Fidia Ya Shilingi BILIONI SABA UNUSU (Tsh 7,500,000,000/=)

Categories
Habari Siasa

Ubunge Mwibara Kwa Tiketi Ya CCM: Kamati Kuu Yamkata “Mwanaharakati Huru” Musiba

Katibu Mwenezi wa CCM, Humprey Polepole ametangaza uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kuhusu majina ya wagombea nafasi za ubunge katika baadhi ya majimbo. Moja ya majimbo yaliyovuta hisia za wengi ni Mwibara ambako mmoja wa wafuasi wakubwa wa Rais Magufuli, “mwanaharakati huru” Cyprian Musiba, alikuwa akiwania kupitishwa kugombea ubunge kwenye jimbo la Mwibara. […]