Categories
Habari Siasa

CUF Wafungua Kesi Dhidi ya Lipumba

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Mussa Haji Kombo kwa kushirikiana na wanachama wengine waliofukuzwa chama hicho, wamefungua kesi ya kumshtaki Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba. Kesi hiyo namba 633/2021 imefunguliwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania na inatarajiwa kutajwa kwa mara ya kwanza Machi 14, 2022 chini ya […]

Categories
Siasa

Profesa Lipumba Akihutubia “Umati” Wa Wananchi Kyerwa 😊

Categories
Siasa

Uchaguzi 2020: Lissu Awawekea Pingamizi Magufuli Na Lipumba

Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, amewawekea pingamizi wagombea wawili wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wagombea hao ni Dr. John Magufuli wa chama tawala CCM na Profesa Ibrahim Lipumba wa CUF. Hadi muda […]

Categories
Siasa

Licha Ya Ahadi Kuwa Wangeshirikiana, Lissu Na Membe Kila Mmoja Kugombea “Kivyake.”

Vyama vikuu vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kuunda ushirikiano uliotarajiwa kuvisaidia vyama hivyo kumng’oa madarakani Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Jana ilikuwa siku ya mwisho kwa wagombea wa nafasi ya urais kutoka vyama mbalimbali kurejesha fomu zao Tume ya Taifa ya Uchaguzi huko Dodoma, na baadaye Tume kutangaza wagombea […]