Categories
Habari

Skolashipu Za Serikali Kusoma Nchini China

Categories
Kimataifa

Waghana Waja Juu Baada Ya Mchina Kusimikwa Uchifu 😁

Uamuzi wa mamlaka huko Ghana kumsimika “uchifu wa maendeleo” raia wa China Sun Qiang umepekelea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi. Raia huyo wa China alisimikwa wadhifa ujulikanao kama Nkosuohene, ambao unamaanisha “chifu wa maendeleo” katika mji wa Kwahu Abetifi, mashariki mwa nchi hiyo. Picha za “chifu” huyo wa Kichina akiwa amebebwa na wananchi zimepelekea […]