Categories
Habari

NHC Yatelekeza Miradi Ya Mabilioni Chato

NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula, amesikitishwa kwa kusuasua kwa utekelezaji wa miradi ya shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wilayani Chato mkoani Geita.–Dk Mabula ambaye alitembelea na kukagua miradi hiyo leo Septemba 14, 2021 alionyesha kusikitishwa kutokana na kusuasua kwa utekelezaji wake kunakosababishwa na ucheleweshaji wa fedha.–Miradi mitatu […]

Categories
Biashara Habari Siasa

Baada Ya Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa China Kutua CHATO, Kesho Rais Nyusi Wa Msumbiji Kuwasili Mji Huo Uliogeuka Kama “Ikulu Ndogo.”

Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kutua kijijini kwa Rais Magufuli, Chato, katika ziara yake wiki iliyopita, Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi nae atawasili kesho kijijini hapo kwa ziara ya siku mbili. Yayumkinika kuiangalia Chato sasa kama “Ikulu isiyo rasmi” baada ya shughuli mbalimbali za kiserikali kuhamia katika kijiji hicho.