Categories
Siasa

Ngoma Inogile: Polepole Ajibu Mashambulizi, Asema Katika CCM Binadamu Wote ni Sawa, “Haijalishi Kama Babako au Mamako Alikuwa Kiongozi.”

Categories
Habari Siasa

CCM Waanza Kutiana Vidole Machoni: Bulembo Amuwakia Polepole, Adai Bashiru Alikuwa mwana-CUF, Amponda Prof Kabudi Akimtuhumu Kuharibu Mahusiano Kimataifa

Mwenyekiti mstaafu wa jumuiya ya wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo amemtaka mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amwache Rais Samia Suluhu Hassan atekeleze majukumu yake. Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 12,2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari akimjibu Polepole kuhusu lawama alizotoa dhidi ya Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM. Bulembo amemuomba makamu mwenyekiti […]

Categories
Habari

Utani Au Kweli? Msanii Steve “Nyerere” Mengele Adai Kuna Wana CCM Wana Mpango Wa Kuanzisha Chama, Aonya “Wahusika” Na Kudai Atawataja Wakati Mwafaka

Chanzo

Categories
Habari Siasa

Haijawahi Kutokea: CCM Yalijia Juu Gazeti Lake La Uhuru Lililodai Mama Samia Hatogombea Urais 2025

Categories
Habari Siasa

CCM Yalaani Mbunge Catherine Magige Kuvamia Mazishi Ya Mfanyabiashara

Chama cha  Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa  umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine Magige. Mbunge huyo jana Alhamisi Mei 27, 2021 alikwenda makaburini yalikokuwa yakifanyika mazishi ya mfanyabiashara Kuzula Madoda inayedaiwa kuwa ni mchumba wake. Madoda alifariki dunia […]

Categories
Habari Siasa

Madhara Ya Kuwapa Maafisa Usalama wa Taifa Uongozi “Uraiani”: DC, Madiwani Dar Nusura Wazichape

MADIWANI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mkoani Dar es salaam, Kisare Makore wameingia katika ‘mnyukano’ unaohatarisha maendeleo na uhai wa chama chao. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mgogoro huo umefika mahala pabaya baada ya DC huyo juzi Jumatatu kunusurika kichapo kutoka kwa madiwani hao wa CCM na kusababisha kikao cha Halmashauri Kuu […]

Categories
Habari

Mitano Tena: Mbunge wa CCM Rorya Apaka Rangi Ya CCM Kwenye Ambulance, Adai Ni Maslahi Mapana Ya Wananchi

Categories
Habari

Dhulmati: Mjane Ailalamikia CCM Kutomlipa Kodi ya Pango Kwa Miaka Mitano, Deni Lafikia Milioni 3

Mkazi mmoja wa kata ya Osunyai ,katika jiji la Arusha , Gloria Laizer ambaye ni mama mjane, amelazimika kuangua kilio hadharani kumlalamikia mpangaji wake ambaye ni chama Cha Mapinduzi CCM kata hiyo kwa kushindwa kumlipa deni la pango katika ofisi waliopanga katika kipindi Cha miaka mitano linalofikia kiasi Cha zaidi ya shilingi milioni 3.5. Mjane […]

Categories
Habari

Mbunge Wa Viti Maalumu (CCM) Afariki Dunia

Categories
Habari Siasa

#MustRead: “Authoritarianism Wins Big in Tanzania Amid Bloodshed and Vote Rigging,” Writes Sophie Nieman

Tanzania’s experience points to how a fully empowered autocrat can demolish a country’s constitutional system. SOPHIE NEIMAN Nov 30 When veteran opposition leader Tundu Lissu returned to Tanzania in August, after three years in exile and with a daring plan to challenge incumbent John Magufuli in the October presidential elections, he was cautiously optimistic. There were […]