Categories
Habari

Mama @SuluhuSamia Acharuka, Avunja Bodi ya TPA na Wakala wa Meli, Aagiza Waliotajwa Ripoti ya CAG Kuchukuliwa Hatua Haraka

Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi, Ripoti ya CAG inasema kwamba kulikuwa na malipo ya juu ya wakandarasi bila kufuata sheria za manunuzi na matumizi, ilitaja pia watu waliohusika […]

Categories
Siasa

Wafuasi Wa “Shujaa Wa Afrika” Wamtishia Maisha CAG Kichere Kutokana Na Ripoti Yake Iliyoonyesha Ufisadi Mkubwa 2015 – 2020

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ametishiwa maisha, baada ya ripoti yake aliyoitoa hivi karibuni kuibua madudu mengi yaliyogusa baadhi ya watumishi wa umma, Raia Mwema imefahamishwa. Taarifa za ndani kutoka familia yake, zimethibitisha kuwapo vitisho dhidi ya CAG Kichere, ambaye kwa sasa ameimarishiwa ulinzi wa kawaida na wa kiintelijensia. […]

Categories
Maoni

Magufuli Kuahidi Ndege 5 Zaidi Akishinda Urais Ni Kiburi na Kuwapuuza Watanzania Wanaolalamikia Ugumu wa Maisha

Kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu, ni suala lisilohitaji utafiti wala mjadala. Kwamba ugumu huo umechangiwa na serikali kuwa na vipaumbele ambavyo hamvimnufaishi mwanachi wa kawaida moja kwa moja au hapo kwa hapo, nalo si jambo linalohitaji umahiri sana kulielewa. Ni wazi kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais aliyepo madarakani, John […]