Categories
Habari Siasa

Ndugai Amuomba Msamaha Mama @SuluhuSamia, Adai Alinukuliwa Vibaya Kwenye Kauli Yake Kuhusu Mikopo

Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana […]

Categories
Habari Uchumi

Mbunge Mpina Awashangaa Wabunge Kupiga Makofi Kuhusu Sh Trilioni 1.3 Kutoka IMF Ilhali SHILINGI TRILIONI 360 ZILIZOPASWA KUKUSANYWA NA SERIKALI HAZIJULIKANI ZILIPO

MBUNGE wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina amehoji bungeni zilipo fedha za watanzania Shilingi Trilioni 360 ambazo Serikali ilipaswa kuzikusanya huku akishauri Mkataba baina ya Kampuni ya SICPA na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu Mtambo wa ETS uvunjwe kwani umelisababishia taifa hasara kubwa. Mpina amesema hayo bungeni Dodoma wakati akichangia Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo […]

Categories
Habari Siasa

VIDEO: Gwajima Adai Kamati Ya Bunge Ilipanga Kumuua Ila “Roho Mtakatifu Alimuokoa.”

Categories
Habari Siasa

Wabunge Wataka Mbunge Condester Sichwale Aliyetolewa Nje Na Spika Ndugai Kwa Madai Ya Mavazi Yasiyo Ya Kimaadili Aombwe Radhi

Sakata la kutolewa nje kwa mbunge wa Momba, Condester Sichwale (CCM) kuhusu mavazi, limeibuka tena leo jioni katika kikao cha Bunge baada ya wabunge wanawake kutaka aombwe radhi na aliyetoa hoja. Hata hivyo mbunge Hussein Amar amesema hawezi kuomba radhi kwa sababu alichosema alikuwa sahihi kwakuwa mavazi aliyovaa mbunge mwenzake hayakuwa na staha ndiyo maana […]

Categories
Siasa

Ndugai Aendeleza Chuki Zake Dhidi Ya Mbowe: Baada Ya Kudai M/Kiti Huyo Wa Chadema Taifa Ametumwa Kupotosha Taarifa Ya CAG, Sasa Adai Mbowe Alikuwa Mzururaji Alipokuwa Mbunge Wa Hai

Awali jana, Spika Ndugai alitoa tuhuma hizi