Categories
Kimataifa

Raundi ya pili ya kuwania urais Brazil kesho

Wabrazili wanapiga kura katika raundi ya pili ya uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo hapo kesho. Raundi hiyo ya pili imetokana na kufungana kura kwa wagombea wakuu, Rais wa sasa Jair Bolsonaro na Luiz Inácio Lula da Silva. Wakati Bolsonaro ni mwanasiasa wa mrengo mkali wa kulia, Lula ni wa mrengo wa kushoto. Kwa mujibu […]