Categories
Habari

Arusha: Huku Mbunge Gambo Akidaiwa Kushawishi Wafanyabiashara Wasilipe Kodi, Yeye Asema Hatishiwi Nyau

Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha(DED) kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake. Gambo ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mkutano wa Baraza la wanawake wa UWT uliofanyika kwenye hotel ya Mount Meru jiji hapa na kusisitiza kwamba […]

Categories
Habari Maisha

Manyara Yaongoza Kwa Ukeketaji. Yafuatiwa Na Dodoma, Arusha, Mara Na Singida.

RIPOTI ya hali ya ukeketaji nchini inaonesha kuwa Mkoa wa Manyara ni kidedea kwa kukeketa wasichana  huku ripoti hiyo ikieleza kuwa wasichana wanaozaliwa au kulelewa na mama aliyekeketwa hukeketwa pia. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza ukeketaji kwa Mikoa ya Kanda ya Kati iliyoandaliwa na Redio ya C-FM ya Jijini hapa jana, Msimamizi […]