Categories
Kimataifa

Ivory Coast: Rais Ouattara Amualika Mpinzani Wake Bédié Kufuatia Vurugu Zilizosababishwa Na Matokeo Ya Uchaguzi

Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara amemualika mpinzani wake, Rais wa zamani Henri Konan Bédié kwa ajili ya mazungumzo baada ya kutokea vurugu zilizosababishwa na matokeo ya uchaguzi . Viongozi wa upinzani walisusia kura za mwezi uliopita na kuapa kuunda serikali ya mpito ambayo itaandaa uchaguzi mpya. Siku ya Jumatatu mahakama ya kikatiba ilithibitisha ushindi […]