Categories
Habari

Askofu Zakaria Kakobe Asihi Watanzania Kupata Chanjo Ya Korona, Awaasa Wasidanganywe Na Wanaendeleza Propaganda Dhidi Ya Chanjo

Categories
Habari

Kuna Idadi Kubwa Ya Watoto Wenye Jinsia Mbili, Lakini Wanafichwa Na Wazazi, Hivyo Kushindwa Kupatiwa Matibabu.

MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imesema kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi, hivyo kushindwa kupatiwa matibabu. Kutokana na hatua hiyo,  jamii    imetakiwa  kuacha imani potofu na kutumia fursa zilizopo katika mamlaka hiyo, ili watoto hao wafanyiwe uchunguzi kubaini jinsia yenye nguvu na kujengewa uwezo. […]

Categories
Habari

Mitano Tena: Magufuli Awataka Watanzania Kupuuza Uzazi Wa Mpango, Asema Wavivu Ndio Wanaojipangia Watoto

Categories
Habari

Mitano Tena: Watoto Waning’inizwa Mtini Kupimwa Uzito, Wajawazito Walazwa Chini Tarime

Categories
Sayansi

Maradhi Ya Figo Yazidi Kuongezeka Nchini Tanzania

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesema tatizo la ugonjwa wa figo nchini linaongezeka Akizungumza na Gazeti la Habari Leo Mratibu wa magonjwa ya figo wa Wizara na Dkt. Bingwa wa Magonjwa ya Figo, Linda Ezekiel, amesema kuwa takwimu zinaonesha Tanzania ina watu 600,000 wenye ugonjwa wa figo. Aidha Dkt. Linda […]