Categories
Siasa

Mapendekezo ya @ACTWazalendo yaliyowasilishwa mbele ya Kikosi Kazi cha Rais.

Categories
Biashara Siasa

Video: ACT-Wazalendo watanabaisha mapungufu ya tume ya uchaguzi iliyopo na wapendekeza jinsi ya kupata tume huru

Categories
Habari Siasa

@ACTwazalendo Wazindua App Yao ya #ACTKiganjani

Categories
Habari Siasa

Mkutano Mkuu wa @ACTwazalendo: Huku Vyama Kadhaa vya Kimataifa Vikialikwa, Kiongozi Mkuu wa Chama Hicho @zittokabwe Achangia sh MILIONI 22 Kwa Ajili ya Maandalizi ya Mkutano Huo

Categories
Habari Siasa

ACT-Wazalendo Wazindua Kadi za Uanachama za Kumuenzi Maalim Seif

Categories
Habari Siasa

Chama cha ACT-Wazalendo Chatangaza Mwaka 2022 Kuwa wa Kupigania Tume Huru ya Uchaguzi Ili Kuweka Mazingira Mazuri Kupata Katiba Mpya

Categories
Siasa

ACT-Wazalendo Washinda Uchaguzi Mdogo Jimbo la Konde, Mgombea Wao Mohammed Said Issa Azoa Asilimia 72%

Mohamed Said Issa wa ACT Wazalendo ameshinda Ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo Amepata kura 2,391 dhidi ya 794 za Mbarouk Amour Habib (CCM), 55 za Hamad Khamis Mbarouk (AAFP) na 98 za Salama Khamis Omar (CUF)

Categories
Habari Siasa

Hotuba ya Kiongozi Mkuu Wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe Kwa Watanzania Kupitia Mkutano Wa Kamati Kuu Ya Chama Hicho

Hotuba ya Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto kwa Watanzania kupitia Mkutano wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Jijini Zanzibar tarehe 8 Agosti 2021 ​UTANGULIZI Ndugu Wajumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Ndugu Watanzania wenzangu, Kwa takribani mwezi mzima sasa, nimekuwa nikitafakari, kushauriana na viongozi wenzangu, pamoja na kujisaili, juu ya […]

Categories
Habari Siasa

Taarifa: Chanzo Cha Mbunge Faki wa CCM Pemba Kujiuzulu Ni Kunusuru Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Baada Ya Makamu Wa Kwanza wa Rais Othman Masoud Othman (Wa ACT-Wazalendo) Kutishia Kuachia Ngazi

Kwa mujibu wa bandiko hili huko Jamii Forums

Categories
Habari Siasa

Zitto Akemea Siasa Za Chuki, Asema Mwenye Mawazo Tofauti Si Adui, Asisitiza Siasa Bora Ni Za Ushawishi (Persuasive Politics)