Categories
Siasa

Uchaguzi 2020: Lissu Awawekea Pingamizi Magufuli Na Lipumba

Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, amewawekea pingamizi wagombea wawili wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wagombea hao ni Dr. John Magufuli wa chama tawala CCM na Profesa Ibrahim Lipumba wa CUF.
Tanzania: Magufuli akutana na viongozi wa upinzani | Matukio ya ...
Hadi muda wa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea unamalizika, hakuna aliyemuwekea pingamizi Lissu. Mgombea huyo anatarajiwa kuongea na waandishi wa habari baadaye.

Habari hii ni endelevu