Categories
Habari Kimataifa

Wanajeshi 20 wa Tanzania Wauawa na Magaidi Msumbiji.

Kikundi cha kigaidi cha Islamic State Central Africa Province (ISCAP) kimetangaza kuwaua wanajeshi 20 wa Tanzania kuafatia mapambano Kaskazini Mashariki mwa Msumbiji.

Vynazo vya habari vya kijeshi vimelizeleza shirika la habari la Amaq kwamba mapambano dhidi ya kikundi hicho cha magaidi yalijumuisha wanajeshi wa Tanzania na wa Msumbiji katika mji wa Masemboa da Praia, katika jimbo la Cabo Delgado.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, wanajeshi wa Tanzania walifanikiwa kuyachoma moto magari kadhaa ya kikundi hicho cha kigaidi huko magaidi hao nao wakifanikiwa kukamata magari manne, silaha na risasi.

Angalizo: Habari hii imetasfiriwa kutoka kwa “uzi” hii wa Twitter wa Jasmine Opperman wa taasisi ya ACLED