Categories
Habari

Tumerejea Hewani

Tovuti hii bora kabisa ya habari za Kiswahili duniani imerejea hewani baada ya ukarabati mkubwa.

Japo msomaji anaweza asibaini tofauti kati ya tovuti hii ilivyokuwa awali na ilivyo sasa, ukweli ni kwamba kuna maboresho kadhaa yaliyofanyika, kubwa zaidi likiwa kwenye usalama, wa msomaji na wa tovuti yenyewe.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza wakati tukiwa matengenezoni.

Kadhalika, menejimenti ya tovuti inatarajia kutangaza hatua mbalimbali za kuboresha zaidi ufanisi wa tovuti hii ikiwa ni pamoja na uwekaji wa habari mpya mara kadhaa kwa siku