Categories
Habari

Ofisi Za ATCL Nchini Komoro Zavunjwa Tena, Sh Milioni 400 Za Ki-Komoro Zaibwa. Ofisi Hazikuwa Na Ulinzi Wala Kamera Za Usalama

ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2020 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera.

Milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia sehemu ya kuhifadhia fedha imevunjwa inahisiwa kuwa baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa ATCL wamehusika katika wizi huo ambao hii ni mara ya pili kutokea