Categories
Habari Sayansi

Breaking News: “Mimi ni Mama wa Watoto Wanne, Bibi, Mke, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania. Nipo Tayari kwa Chanjo ya Korona,” Asema Mama @SuluhuSamia Akipewa Chanjo ya Korona Ikulu Leo.

Categories
Habari Sayansi

29 Wafariki Kwa KORONA Tanzania, Visa Vipya 176 Jana Pekee, Jumla Ya Wagonjwa Ni 858

Waziri wa Afya, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29 wamefariki kutokana na wimbi la tatu la Covid-19 huku jana pekee kukiwa na wagonjwa wapya 176. Idadi hiyo inafikisha Tanzania kuwa na jumla ya wagonjwa 858 wa Covid-19. Akizungumza na waandishi wa habari leo Dk Dorothy amesema takwimu hizo ni alizopata jana […]

Categories
Habari Sayansi

Kukabiliana na Janga La Korona Tanzania Na Kukidhi Matakwa Ya IMF: Serikali ya Mama Samia Yaagiza Uvaaji Barakoa Kwenye Mikusanyiko

Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za afya ya msingi na kwamba watapimwa kulingana na utendaji wao. Pamoja na hatua mbalimbali […]

Categories
Sayansi

Facebook, Mmiliki Wa WhatsApp, Yasitisha Sera Mpya Ya Faragha Iliyopelekea Mamilioni Kuikimbia WhatsApp

Mtandao wa kijamii wa Facebook, unaomiliki mtandao mwingine wa kijamii wa WhatsApp, umesitisha utekelezaji wa sera mpya ya faragha, ambayo ilipelekea mamilioni ya watumiaji wa WhatsApp kuachana na programu-tumizi hiyo. Sera hiyo mpya ya faragha ililenga kukusanya taarifa za watumiaji wa WhatsApp na kuipatia Facebook, ambayo ina rekodi isiyopendeza kuhusu utunzaji wa faragha za watumiaji […]

Categories
Sayansi

Maradhi Ya Figo Yazidi Kuongezeka Nchini Tanzania

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesema tatizo la ugonjwa wa figo nchini linaongezeka Akizungumza na Gazeti la Habari Leo Mratibu wa magonjwa ya figo wa Wizara na Dkt. Bingwa wa Magonjwa ya Figo, Linda Ezekiel, amesema kuwa takwimu zinaonesha Tanzania ina watu 600,000 wenye ugonjwa wa figo. Aidha Dkt. Linda […]