Categories
Michezo/Burudani

Mwanasoka Jake Daniels wa klabu ya Blackpool ya Uingereza atangaza kuwa ni shoga

Mwanasoka Jake Daniels wa klabu ya mpira wa miguu ya Blackpool ametangaza kuwa yeye ni shoga. Hatua hiyo ya mwanasoka huyo wa timu hiyo inayokipiga kwenye ligi ya daraja la pili, ni ya kwanza baada ya zaidi ya miaka 30, ambapo mwanasoka wa zamani hapa Uingereza John Fashanu. Daniels amesema kuwa amepata sapoti ya kutosha […]

Categories
Michezo/Burudani

Mo (@moodewji) Amwaga Mamilioni Simba, Alipa Wachezaji Mishahara ya Januari, Bonasi ya Mechi 4 Walizoshinda, Awaahidi Zawadi Nono Wakishinda Dhidi ya ASEC Mimosa

RAIS wa heshima wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ juzi aliwamwagia mkwanja wachezaji wa kikosi hicho mchana wa Jumatano alipowatembelea kambini kwao. Bilionea huyo baada ya kikao cha dakika kadhaa na wachezaji, kwanza aliwalipa wachezaji na benchi la ufundi mishahara yao ya mwezi Januari kila mmoja. Wachezaji wa Simba baada ya hapo walipokea bonasi ya […]

Categories
Michezo/Burudani

Mo (@moodewji) Aahidi Kutoa Sh BILIONI MBILI Kuchangia Ujenzi wa Uwanja, Ashauri Bodi ya Simba Iharakishe Mchakato wa Ujenzi.

Categories
Michezo/Burudani

“Nimesikitishwa Sana na Kitendo Alichofanyiwa CEO wa Simba Kuzuiliwa Kuingia VVIP Katika Mchezo wa Jana… This is Unacceptable,” – Mohammed Dewji (@moodewji)

Categories
Michezo/Burudani

Simba Yaachana na Kocha Gomez, Nafasi Yake Kukaimiwa na Thierry Hitimana Akisaidiwa na Selemani Matola

Categories
Michezo/Burudani

Kufuatia Simba Kufungwa 3-1 na Kutolewa na Wabotswana, Mo (@moodewji) Aeleza Masikitiko Yake, Ataka Uongozi Kuchukua Hatua Kali Kwa Waliohusika Simba Kupoteza Mechi Hiyo

Categories
Michezo/Burudani

Taifa Stars Yaibwaga Benin 1-0, Bao la Simon Mchuva Laipeleka Stars Kileleni Kundi J, Mama Samia Atoa Pongezi

Categories
Michezo/Burudani

Safari ya Kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2022: Taifa Stars Yafungwa 1-0 na Benin, Dar.

Categories
Michezo/Burudani

Mwanasoka wa Kimataifa wa Tanzania @HimidMao Ajiunga na Klabu ya Ghazl El-Mahalla Ya Misri Inayokipiga Ligi Kuu ya Nchi Hiyo

Mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami amejiunga na klabu ya soka ya Ghazl El-Mahalla inayokipiga Ligi Kuu ya Misri, akitokea klabu ya Entag El Harby ya nchini humo. Tovuti hii inamtakia Himid kila la heri katika klabu yake mpya 🙏

Categories
Habari Michezo/Burudani

Mwenyekiti wa Bodi ya Simba @moodewji Ajiuzulu. Salim Abdallah Ateuliwa Kushika Nafasi Yake. Mo Awahakikishia Mashabiki “Bado Nipo Sana Simba.”