Categories
Maoni

#NukuuZaMo: Usitafute Ugumu Pasipo Ugumu

Categories
Maoni Siasa

Maoni Ya Mdau: Tatizo Sio Katiba Mpya Bali Kutotii Sheria Zilizomo Kwenye Katiba Iliyopo. Kama Sheria Zilizo Kwenye Katiba Ya Sasa Zapuuzwa, Miujiza Gani Itafanya Zilizomo Kwenye Katiba Mpya Ziheshimiwe?

Maoni ya mdau mmoja huko Jamii Forums Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni yenye kustahili kusahihishwa kwa sababu si ya kweli. Ni uongo! Kwa ajili ya kumbukumbu, nimekusudia kusahihisha […]

Categories
Maoni

“Dear Mama Samia, Je Una Taarifa Za Changamoto Ya Mifumo Ya TEHAMA Hususan Kufeli Kwa Mfumo Wa Hazina Unaotoa Control Number?”

Anaandika mdau mmoja huko Jamii Forums Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho Tulitangaziwa na Wizara ya fedha kimekwisha. Nimekwenda taasisi […]

Categories
Maoni Siasa

Maoni: Mama Samia Atazimudu Fitna Za Watanganyika?

Nimekutana na bandiko hili huko Jamii Forums, mwandishi akiwa mtu anayejiita “Boss” nami nimeona lina umuhimu wa kubandikwa hapa tovutini Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao.. Rais Mwinyi alikuwa ‘victim’ ‘mkubwa Sana wa makundi haya…ilifikia wakati […]

Categories
Maoni Siasa

Maoni: Japo Si Lazima, Membe na ACT-Wazalendo Wanapaswa Kuwaambia Watanzania Kuhusu Mustakabali Wao Katika Kuwania Urais wa JMT

  Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui masaa matatu wamwachie akiwa mzima na salama. — Bernard K. Membe (@BenMembe) September 16, 2020 Msaidizi wangu Jerome tunaambiwa anakabiliwa na […]

Categories
Maoni

Magufuli Kuahidi Ndege 5 Zaidi Akishinda Urais Ni Kiburi na Kuwapuuza Watanzania Wanaolalamikia Ugumu wa Maisha

Kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu, ni suala lisilohitaji utafiti wala mjadala. Kwamba ugumu huo umechangiwa na serikali kuwa na vipaumbele ambavyo hamvimnufaishi mwanachi wa kawaida moja kwa moja au hapo kwa hapo, nalo si jambo linalohitaji umahiri sana kulielewa. Ni wazi kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais aliyepo madarakani, John […]

Categories
Maisha Maoni Siasa

Uzinduzi wa Kampeni za CCM Dodoma: Makonda Azuiliwa Kwenda Kukaa Jukwaa La VIPs

Chama tawala CCM leo huko Dodoma kimezindua kampeni zake za uchaguzi mkuu kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani. Moja ya matukio yaliyogusa hisia za wengi katika uzinduzi huo ni kitendo cha wanausalama kumzuwia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwenda kwenye jukwaa la wageni maarufu (VIP). Baadaye, kulisambaa picha inayomwonyesha […]

Categories
Maoni Siasa

Maoni Kuhusu “Mtu Asiyejulikana” Kuchukua Fomu ya Chadema ya Ubunge Kibamba: Hujuma au Maigizo?

Moja ya matukio ambayo yameendelea kutawala anga za habari za uchaguzi nchini Tanzania ni hilo la fomu za ubunge wa jimbo hilo kwa upande wa Chadema kuchukuliwa na “mtu asiyejulikana.” Gazeti hili lilisharipoti kuhusu tukio hilo japo jana sakata hilo lilichukua sura mpya baada ya kusambazwa video inayoonyesha suala zima. Na ni video hiyo inayoweza […]

Categories
Maoni Siasa

Maoni Ya Wananchi Kuhusu Mkutano Wa Viongozi Wa Dini “Kumuunga Mkono Magufuli”

Jana kulifanyika mkutano mkubwa wa viongozi mbalimbali wa dini “kumuunga mkono” mgombea wa CCM, Rais John Magufuli. Tukio hilo liligusa hisia za watu mbalimbali, na gazeti hili lilifanikiwa kupata maoni ya baadhi ya wanachi hao.